Walakini wanitafuta kila siku; hupenda kujua njia zangu; kama vile taifa waliotenda haki, wasioacha sheria ya Mungu wao, hutaka kwangu amri za haki; hufurahi kumkaribia Mungu.
Marko 10:20 - Swahili Revised Union Version Akamwambia, Mwalimu, haya yote nimeyashika tangu utoto wangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye akamjibu, “Mwalimu, hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.” Biblia Habari Njema - BHND Naye akamjibu, “Mwalimu, hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye akamjibu, “Mwalimu, hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.” Neno: Bibilia Takatifu Akamjibu, “Mwalimu, amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.” Neno: Maandiko Matakatifu Akamjibu, “Mwalimu, amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.” BIBLIA KISWAHILI Akamwambia, Mwalimu, haya yote nimeyashika tangu utoto wangu. |
Walakini wanitafuta kila siku; hupenda kujua njia zangu; kama vile taifa waliotenda haki, wasioacha sheria ya Mungu wao, hutaka kwangu amri za haki; hufurahi kumkaribia Mungu.
Tena nitakufanya kuwa ukiwa, na aibu, kati ya mataifa wakuzungukao, machoni pa watu wote wapitao.
Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.
Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa na neno moja. Nenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.
Nami nilikuwa hai hapo kwanza bila sheria; ila ilipokuja ile amri, dhambi ilihuika, nami nikafa.
kwa habari ya juhudi, mwenye kuliudhi kanisa, kwa habari ya haki ipatikanayo kwa sheria sikuwa na hatia.