Atalilisha kundi lake kama mchungaji, Atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake; Na kuwachukua kifuani mwake, Nao wanyonyeshao atawaongoza polepole.
Marko 10:16 - Swahili Revised Union Version Akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabariki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akawapokea watoto hao, akawawekea mikono, akawabariki. Biblia Habari Njema - BHND Kisha akawapokea watoto hao, akawawekea mikono, akawabariki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akawapokea watoto hao, akawawekea mikono, akawabariki. Neno: Bibilia Takatifu Akawachukua watoto mikononi mwake, akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabariki. Neno: Maandiko Matakatifu Akawachukua watoto mikononi mwake, akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabariki. BIBLIA KISWAHILI Akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabariki. |
Atalilisha kundi lake kama mchungaji, Atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake; Na kuwachukua kifuani mwake, Nao wanyonyeshao atawaongoza polepole.
Nao walipokuwa wakila, alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa, akasema, Twaeni; huu ndio mwili wangu.