Kusanyeni watu, litakaseni kusanyiko, Kusanyeni wazee, kusanyeni watoto, Na hao wanyonyao maziwa; Bwana arusi na atoke chumbani mwake, Na bibi arusi katika hema yake.
Marko 10:13 - Swahili Revised Union Version Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse; wanafunzi wake wakawakemea. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea. Biblia Habari Njema - BHND Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea. Neno: Bibilia Takatifu Watu walikuwa wakimletea Isa watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wake wakawakemea. Neno: Maandiko Matakatifu Watu walikuwa wakimletea Isa watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wake wakawakemea. BIBLIA KISWAHILI Basi wakamletea watoto wadogo ili awaguse; wanafunzi wake wakawakemea. |
Kusanyeni watu, litakaseni kusanyiko, Kusanyeni wazee, kusanyeni watoto, Na hao wanyonyao maziwa; Bwana arusi na atoke chumbani mwake, Na bibi arusi katika hema yake.
Na wengi wakamkemea ili anyamaze, lakini alizidi kupaza sauti, Mwana wa Daudi, unirehemu.
Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani nasi; tukamkataza, kwa sababu hafuatani nasi.