Macho yao yakafumbuka. Naye Yesu akawaagiza kwa nguvu, akisema, Angalieni hata mtu mmoja asijue.
Marko 1:43 - Swahili Revised Union Version Akamkataza kwa nguvu, akamwondoa mara, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwambia, Biblia Habari Njema - BHND Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwambia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwambia, Neno: Bibilia Takatifu Baada ya Isa kumwonya vikali, akamruhusu aende zake mara moja; Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya Isa kumwonya vikali, akamruhusu aende zake BIBLIA KISWAHILI Akamkataza kwa nguvu, akamwondoa mara, |
Macho yao yakafumbuka. Naye Yesu akawaagiza kwa nguvu, akisema, Angalieni hata mtu mmoja asijue.
akamwambia, Angalia, usimwambie mtu neno lolote, ila nenda zako ukajioneshe kwa kuhani, ukatoe alivyoamuru Musa kwa ajili ya kutakasika kwako, iwe ushuhuda kwao.
Akawaonya wasimwambie mtu; lakini kadiri ya alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari;