Umeona, maana unaangalia matatizo na dhiki, Uyatwae mkononi mwako. Mtu duni hukuachia nafsi yake, Maana umekuwa msaidizi wa yatima.
Maombolezo 3:60 - Swahili Revised Union Version Umekiona kisasi chao chote, Na mashauri yao yote juu yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Umeuona uovu wa maadui zangu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu. Biblia Habari Njema - BHND Umeuona uovu wa maadui zangu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Umeuona uovu wa maadui zangu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu. Neno: Bibilia Takatifu Umeona kina cha kisasi chao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Umeona kina cha kisasi chao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu. BIBLIA KISWAHILI Umekiona kisasi chao chote, Na mashauri yao yote juu yangu. |
Umeona, maana unaangalia matatizo na dhiki, Uyatwae mkononi mwako. Mtu duni hukuachia nafsi yake, Maana umekuwa msaidizi wa yatima.
Lakini wewe, BWANA, unajua mashauri yao yote juu yangu, ya kuniua; usiwasamehe uovu wao, wala usifute dhambi yao mbele za macho yako; bali wakwazwe mbele zako; uwatende mambo wakati wa hasira yako.