Maombolezo 3:55 - Swahili Revised Union Version Nililiitia jina lako, BWANA, kutoka lile shimo Liendalo chini kabisa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Kutoka chini shimoni nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema - BHND “Kutoka chini shimoni nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Kutoka chini shimoni nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Nililiitia jina lako, Ee Mwenyezi Mungu, kutoka vina vya shimo. Neno: Maandiko Matakatifu Nililiitia jina lako, Ee bwana, kutoka vina vya shimo. BIBLIA KISWAHILI Nililiitia jina lako, BWANA, kutoka lile shimo Liendalo chini kabisa. |
Basi wakamtwaa Yeremia, wakamtupa katika shimo la Malkiya, mwana wa mfalme, lililo katika ukumbi wa walinzi; wakamshusha kwa kamba. Na mle shimoni hamkuwa na maji, ila matope tu; naye Yeremia akazama katika matope hayo.