Maombolezo 3:52 - Swahili Revised Union Version Walio adui zangu bila sababu Wameniwinda sana kama ndege; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Nimewindwa kama ndege na hao wanichukiao bila sababu. Biblia Habari Njema - BHND “Nimewindwa kama ndege na hao wanichukiao bila sababu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Nimewindwa kama ndege na hao wanichukiao bila sababu. Neno: Bibilia Takatifu Wale waliokuwa adui zangu bila sababu wameniwinda kama ndege. Neno: Maandiko Matakatifu Wale waliokuwa adui zangu bila sababu wameniwinda kama ndege. BIBLIA KISWAHILI Walio adui zangu bila sababu Wameniwinda sana kama ndege; |
BWANA ndiye niliyemkimbilia. Mbona mnaiambia nafsi yangu, Kimbia kama ndege mlimani kwenu?
Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
Wanaonichukia bure ni wengi Kuliko nywele za kichwa changu. Watakao kunikatilia mbali ni wengi, Adui zangu kwa sababu isiyo kweli. Hata mimi nililipishwa kwa nguvu Vitu nisivyovichukua.
Pamoja na haya Yeremia akamwambia mfalme Sedekia, Nimefanya kosa gani juu yako, au juu ya watumishi wako, au juu ya watu hawa, hata mkanitia gerezani?
Jicho langu lanitia huzuni nafsini mwangu, Kwa ajili ya kuangamizwa kwa binti wa watu wangu.