Katika siku ya taabu yangu nilimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, bila kulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika.
Maombolezo 3:49 - Swahili Revised Union Version Jicho langu latoka machozi lisikome, Wala haliachi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Machozi yatanitoka bila kikomo, Biblia Habari Njema - BHND “Machozi yatanitoka bila kikomo, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Machozi yatanitoka bila kikomo, Neno: Bibilia Takatifu Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma, bila kupata nafuu, Neno: Maandiko Matakatifu Macho yangu yatatiririka machozi bila kukoma, bila kupata nafuu, BIBLIA KISWAHILI Jicho langu latoka machozi lisikome, Wala haliachi; |
Katika siku ya taabu yangu nilimtafuta Bwana; Mkono wangu ulinyoshwa usiku, bila kulegea; Nafsi yangu ilikataa kufarijika.
Nawe utawaambia neno hili, Macho yangu na yatiririke machozi, usiku na mchana, wala yasikome; kwa maana bikira, binti ya watu wangu, amevunjika mavunjiko makuu, kwa jeraha lisiloponyeka.
Mimi ninayalilia mambo hayo; Jicho langu, jicho langu linachuruzika machozi; Kwa kuwa mfariji yuko mbali nami, Ambaye ilimpasa kunihuisha nafsi; Watoto wangu wameachwa peke yao, Kwa sababu huyo adui ameshinda.
Mioyo yao ilimlilia Bwana; Ee ukuta wa binti Sayuni! Machozi na yachuruzike kama mto Mchana na usiku; Usijipatie kupumzika; Mboni ya jicho lako isikome.