Maombolezo 3:4 - Swahili Revised Union Version Amechakaza ngozi yangu na nyama yangu; Ameivunja mifupa yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Amenichakaza ngozi na nyama, mifupa yangu ameivunja. Biblia Habari Njema - BHND Amenichakaza ngozi na nyama, mifupa yangu ameivunja. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Amenichakaza ngozi na nyama, mifupa yangu ameivunja. Neno: Bibilia Takatifu Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa na ameivunja mifupa yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Amefanya ngozi yangu na nyama yangu kuchakaa na ameivunja mifupa yangu. BIBLIA KISWAHILI Amechakaza ngozi yangu na nyama yangu; Ameivunja mifupa yangu. |
Nimemwagika kama maji, Mifupa yangu yote imeteguka, Moyo wangu umekuwa kama nta, Na kuyeyuka ndani ya moyo wangu.
Nilijituliza hata asubuhi; kama simba, anaivunja mifupa yangu yote; Tangu mchana hata usiku wanimaliza.
Israeli ni kondoo aliyetawanywa; simba wamemfukuzia mbali; kwanza mfalme wa Ashuru amemla, na mwisho Nebukadneza huyu, mfalme wa Babeli, amemvunja mifupa yake.