Maombolezo 3:35 - Swahili Revised Union Version Kuipotosha hukumu ya mtu Mbele zake Aliye Juu, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema haki za binadamu zinapopotoshwa mbele yake Mungu Mkuu, Biblia Habari Njema - BHND haki za binadamu zinapopotoshwa mbele yake Mungu Mkuu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza haki za binadamu zinapopotoshwa mbele yake Mungu Mkuu, Neno: Bibilia Takatifu Kumnyima mtu haki zake mbele za Aliye Juu Sana, Neno: Maandiko Matakatifu Kumnyima mtu haki zake mbele za Aliye Juu Sana, BIBLIA KISWAHILI Kuipotosha hukumu ya mtu Mbele zake Aliye Juu, |
Yeye asemaye kwamba asiye haki ana haki; naye asemaye kwamba mwenye haki hana haki; Hao wote wawili ni chukizo kwa BWANA.
ili kumpotosha mhitaji asipate haki yake, na kuwanyang'anya maskini wa watu wangu haki yao; ili wajane wawe mateka yao, na kuwafanya yatima waliofiwa na baba zao kuwa mawindo yao!
Kwa habari zako, Ee mfalme, Mungu Aliye Juu alimpa Nebukadneza, baba yako, ufalme, na ukuu, na fahari, na utukufu;
Pakiwa na mashindano kati ya watu, wakaenda maamuzini, na hao waamuzi wakawaamua; na wampe haki mwenye haki, na wamhukumie makosa yule mwovu;