Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Maombolezo 3:35 - Swahili Revised Union Version

35 Kuipotosha hukumu ya mtu Mbele zake Aliye Juu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 haki za binadamu zinapopotoshwa mbele yake Mungu Mkuu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 haki za binadamu zinapopotoshwa mbele yake Mungu Mkuu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 haki za binadamu zinapopotoshwa mbele yake Mungu Mkuu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Kumnyima mtu haki zake mbele za Aliye Juu Sana,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Kumnyima mtu haki zake mbele za Aliye Juu Sana,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

35 Kuipotosha hukumu ya mtu Mbele zake Aliye Juu,

Tazama sura Nakili




Maombolezo 3:35
6 Marejeleo ya Msalaba  

Najua ya kuwa BWANA atamfanyia mnyonge hukumu, Na wahitaji haki yao.


Yeye asemaye kwamba asiye haki ana haki; naye asemaye kwamba mwenye haki hana haki; Hao wote wawili ni chukizo kwa BWANA.


ili kumpotosha mhitaji asipate haki yake, na kuwanyang'anya maskini wa watu wangu haki yao; ili wajane wawe mateka yao, na kuwafanya yatima waliofiwa na baba zao kuwa mawindo yao!


Wafungwa wote wa duniani Kupondwa chini kwa miguu,


Kwa habari zako, Ee mfalme, Mungu Aliye Juu alimpa Nebukadneza, baba yako, ufalme, na ukuu, na fahari, na utukufu;


Pakiwa na mashindano kati ya watu, wakaenda maamuzini, na hao waamuzi wakawaamua; na wampe haki mwenye haki, na wamhukumie makosa yule mwovu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo