Maombolezo 3:21 - Swahili Revised Union Version Najikumbusha neno hili, Kwa hiyo nina matumaini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini nakumbuka jambo hili moja, nami ninalo tumaini: Biblia Habari Njema - BHND Lakini nakumbuka jambo hili moja, nami ninalo tumaini: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini nakumbuka jambo hili moja, nami ninalo tumaini: Neno: Bibilia Takatifu Hata hivyo najikumbusha neno hili na kwa hiyo ninalo tumaini. Neno: Maandiko Matakatifu Hata hivyo najikumbusha neno hili na kwa hiyo ninalo tumaini. BIBLIA KISWAHILI Najikumbusha neno hili, Kwa hiyo nina matumaini. |
Ee Israeli, umtarajie BWANA; Maana kwa BWANA kuna fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi.
Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.