Maombolezo 3:22 - Swahili Revised Union Version22 Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Kwa sababu ya upendo mkuu wa Mwenyezi Mungu, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Kwa sababu ya upendo mkuu wa bwana, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. Tazama sura |