Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Maombolezo 3:20 - Swahili Revised Union Version

20 Nafsi yangu ingali ikiyakumbuka hayo, Nayo imeinama ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Nayafikiria hayo daima, nayo roho yangu imejaa majonzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Nayafikiria hayo daima, nayo roho yangu imejaa majonzi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Nayafikiria hayo daima, nayo roho yangu imejaa majonzi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Ninayakumbuka vyema, nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Ninayakumbuka vyema, nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

20 Nafsi yangu ingali ikiyakumbuka hayo, Nayo imeinama ndani yangu.

Tazama sura Nakili

Maombolezo 3:20
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hata nikumbukapo nahuzunika, Na utisho wanishika mwilini mwangu.

BWANA huwafumbua macho waliopofuka; BWANA huwainua walioinama; BWANA huwapenda wenye haki;

Nafsi yangu, kwa nini kuinama, Na kufadhaika ndani yangu? Umtumaini Mungu; Kwa maana nitakuja kumsifu, Aliye afya ya uso wangu, Na Mungu wangu.

Nafsi yangu, kwa nini kuinama, Na kufadhaika ndani yangu? Umtumaini Mungu; Maana nitamsifu tena, Aliye msaada wangu, Na Mungu wangu.

Maana nafsi yetu imeinama mavumbini, Tumbo letu limegandamana na nchi.

Katika wingi wa mawazo ya moyoni mwangu, Faraja zako zinaifurahisha roho yangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo