Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na dada zake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Luka 8:20 - Swahili Revised Union Version Akaletewa habari akiambiwa, Mama yako na ndugu zako wamesimama nje wakitaka kuonana nawe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akapewa habari kwamba mama na ndugu zake walikuwa nje, wanataka kumwona. Biblia Habari Njema - BHND Yesu akapewa habari kwamba mama na ndugu zake walikuwa nje, wanataka kumwona. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akapewa habari kwamba mama na ndugu zake walikuwa nje, wanataka kumwona. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mmoja akamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje wanataka kukuona.” Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mmoja akamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje wanataka kukuona.” BIBLIA KISWAHILI Akaletewa habari akiambiwa, Mama yako na ndugu zako wamesimama nje wakitaka kuonana nawe. |
Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na dada zake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.
Akawajibu akasema, Mama yangu na ndugu zangu ni hao walisikiao neno la Mungu na kulifanya.
Hawa wote walikuwa wakidumu kwa moyo mmoja katika kusali, pamoja nao wanawake, na Mariamu mama yake Yesu, na ndugu zake.
Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?