Luka 8:19 - Swahili Revised Union Version19 Ndipo mama yake na ndugu zake wakamwendea, wasiweze kumkaribia kwa sababu ya mkutano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Wakati mmoja mama yake Isa na ndugu zake walikuja kumwona, lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya msongamano wa watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Wakati mmoja mama yake Isa na ndugu zake walikuja kumwona, lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya msongamano wa watu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Ndipo mama yake na ndugu zake wakamwendea, wasiweze kumkaribia kwa sababu ya mkutano. Tazama sura |