Luka 8:21 - Swahili Revised Union Version21 Akawajibu akasema, Mama yangu na ndugu zangu ni hao walisikiao neno la Mungu na kulifanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Lakini Yesu akawaambia watu wote, “Mama yangu na ndugu zangu ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Lakini Yesu akawaambia watu wote, “Mama yangu na ndugu zangu ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Lakini Yesu akawaambia watu wote, “Mama yangu na ndugu zangu ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Isa akamjibu, “Mama yangu na ndugu zangu ni wale wote wanaolisikia neno la Mungu na kulifanya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Isa akamjibu, “Mama yangu na ndugu zangu ni wale wote wanaolisikia neno la Mungu na kulifanya.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Akawajibu akasema, Mama yangu na ndugu zangu ni hao walisikiao neno la Mungu na kulifanya. Tazama sura |