Ndipo Hiramu, mfalme wa Tiro, akawatuma watumishi wake kwa Sulemani; kwani alikuwa amesikia ya kwamba wamemtia mafuta awe mfalme mahali pa baba yake. Kwa maana Hiramu alikuwa akimpenda Daudi siku zote.
Luka 7:5 - Swahili Revised Union Version maana, analipenda taifa letu, naye alitujengea sinagogi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema kwa maana yeye analipenda taifa letu, na ndiye aliyetujengea lile sunagogi.” Biblia Habari Njema - BHND kwa maana yeye analipenda taifa letu, na ndiye aliyetujengea lile sunagogi.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kwa maana yeye analipenda taifa letu, na ndiye aliyetujengea lile sunagogi.” Neno: Bibilia Takatifu kwa sababu analipenda taifa letu tena ametujengea sinagogi.” Neno: Maandiko Matakatifu kwa sababu analipenda taifa letu tena ametujengea sinagogi.” BIBLIA KISWAHILI maana, analipenda taifa letu, naye alitujengea sinagogi. |
Ndipo Hiramu, mfalme wa Tiro, akawatuma watumishi wake kwa Sulemani; kwani alikuwa amesikia ya kwamba wamemtia mafuta awe mfalme mahali pa baba yake. Kwa maana Hiramu alikuwa akimpenda Daudi siku zote.
Basi Yesu akaenda pamoja nao. Hata alipokuwa si mbali na nyumba yake, yule afisa alituma rafiki kwake, akamwambia, Bwana, usijisumbue, maana mimi sistahili wewe uingie chini ya dari langu;
Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno, wala kutotahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.
Sisi tunajua ya kuwa tumepita toka mautini kuingia uzimani, kwa maana tunawapenda ndugu. Yeye asiyependa, akaa katika mauti.