Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Luka 7:10 - Swahili Revised Union Version Na wale waliotumwa waliporudi nyumbani, wakamkuta yule mtumwa ni mzima. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Biblia Habari Njema - BHND Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Neno: Bibilia Takatifu Nao wale watu waliokuwa wametumwa kwa Isa waliporudi nyumbani walimkuta yule mtumishi amepona. Neno: Maandiko Matakatifu Nao wale watu waliokuwa wametumwa kwa Isa waliporudi nyumbani walimkuta yule mtumishi amepona. BIBLIA KISWAHILI Na wale waliotumwa waliporudi nyumbani, wakamkuta yule mtumwa ni mzima. |
Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Naye Yesu akamwambia yule afisa, Nenda zako; na iwe kwako kama ulivyoamini. Mtumishi wake akapona wakati ule ule.
Baadaye kidogo alikwenda mpaka katika mji mmoja uitwao Naini, na wanafunzi wake walifuatana naye pamoja na mkutano mkubwa.
Yesu aliposikia hayo alimstaajabia, akaugeukia mkutano uliokuwa ukimfuata, akasema, Nawaambia, hata katika Israeli sijaona imani kubwa namna hii.