Luka 7:10 - Swahili Revised Union Version10 Na wale waliotumwa waliporudi nyumbani, wakamkuta yule mtumwa ni mzima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wale watu walipowasili nyumbani walimkuta yule mtumishi hajambo kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nao wale watu waliokuwa wametumwa kwa Isa waliporudi nyumbani walimkuta yule mtumishi amepona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nao wale watu waliokuwa wametumwa kwa Isa waliporudi nyumbani walimkuta yule mtumishi amepona. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Na wale waliotumwa waliporudi nyumbani, wakamkuta yule mtumwa ni mzima. Tazama sura |