Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani, aitwaye Mathayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.
Luka 6:15 - Swahili Revised Union Version na Mathayo na Tomaso, na Yakobo wa Alfayo, na Simoni aitwaye Zelote, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mathayo na Thoma, Yakobo wa Alfayo na Simoni (aliyeitwa Zelote), Biblia Habari Njema - BHND Mathayo na Thoma, Yakobo wa Alfayo na Simoni (aliyeitwa Zelote), Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mathayo na Thoma, Yakobo wa Alfayo na Simoni (aliyeitwa Zelote), Neno: Bibilia Takatifu Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Simoni aliyeitwa Zelote, Neno: Maandiko Matakatifu Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Simoni aliyeitwa Zelote, BIBLIA KISWAHILI na Mathayo na Tomaso, na Yakobo wa Alfayo, na Simoni aitwaye Zelote, |
Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani, aitwaye Mathayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.
Na alipokuwa akipita, akamwona Lawi wa Alfayo, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate. Akaondoka akamfuata.
na Andrea, na Filipo, na Bartholomayo, na Mathayo, na Tomaso, na Yakobo wa Alfayo, na Thadayo, na Simoni Mkananayo,
Baada ya hayo akatoka, akaona mtoza ushuru, jina lake Lawi, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate.
Simoni, aliyemwita jina la pili Petro, na Andrea nduguye, na Yakobo na Yohana, na Filipo na Bartholomayo,
Basi Tomaso, aitwaye Pacha, akawaambia wanafunzi wenziwe, Twendeni na sisi, ili tufe pamoja naye.
Lakini mmoja wa wale Kumi na Wawili, Tomaso, aitwaye Pacha, hakuwako pamoja nao alipokuja Yesu.
Wakati walipoingia, wakapanda ghorofani, walipokuwa wakikaa; Petro, na Yohana, na Yakobo, na Andrea, Filipo na Tomaso, Bartholomayo na Mathayo, Yakobo wa Alfayo, na Simoni Zelote, na Yuda wa Yakobo.
tena Yakobo, Kefa, na Yohana, waliosifika kuwa ni nguzo, walipoitambua ile neema niliyopewa, walinipa mimi na Barnaba mkono wa kulia wa kuonesha ushirikiano; ili sisi tuende kwa Mataifa, na wao waende kwa watu wa tohara;
Yakobo, mtumwa wa Mungu, na wa Bwana Yesu Kristo, kwa makabila kumi na mawili waliotawanyika; salamu.