Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa busara, atatukuzwa, na kuinuliwa juu, naye atakuwa juu sana.
Luka 4:37 - Swahili Revised Union Version Habari zake zikaenea kila mahali katika nchi ile. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Habari za Yesu zikaenea mahali pote katika eneo lile. Biblia Habari Njema - BHND Habari za Yesu zikaenea mahali pote katika eneo lile. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Habari za Yesu zikaenea mahali pote katika eneo lile. Neno: Bibilia Takatifu Habari zake zikaanza kuenea kila mahali katika sehemu ile. Neno: Maandiko Matakatifu Habari zake zikaanza kuenea kila mahali katika sehemu ile. BIBLIA KISWAHILI Habari zake zikaenea kila mahali katika nchi ile. |
Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa busara, atatukuzwa, na kuinuliwa juu, naye atakuwa juu sana.
Lakini akatoka, akaanza kuhubiri maneno mengi, na kulitangaza lile neno, hata Yesu asiweze tena kuingia mjini waziwazi; bali alikaa nje mahali pasipokuwa na watu, wakamwendea kutoka kila upande.
Naye Mfalme Herode akasikia habari; kwa maana jina lake lilikuwa limeenea, akasema, Yohana Mbatizaji amefufuka katika wafu, na kwa hiyo nguvu hizi zinatenda kazi ndani yake.
Yesu akarudi kwa nguvu za Roho, akaendea Galilaya; habari zake zikaenea katika nchi zote za kandokando.