lakini yeye alipita katikati yao, akaenda zake.
Lakini Yesu akapita katikati yao, akaenda zake.
Lakini yeye akapita papo hapo katikati ya umati huo wa watu akaenda zake.
Lakini yeye akapita papo hapo katikati ya huo umati wa watu akaenda zake.
Akashuka mpaka Kapernaumu, mji wa Galilaya, akawa akiwafundisha siku ya sabato;
Wakatafuta tena kumkamata; lakini akatoka mikononi mwao.
Basi wakaokota mawe ili wamtupie; lakini Yesu akajificha, akatoka hekaluni.
Kulipopambazuka askari wakaingiwa na fadhaa juu ya yaliyompata Petro.