Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake; naye atawatolea mataifa hukumu.
Luka 4:19 - Swahili Revised Union Version Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na kutangaza mwaka wa neema ya Bwana.” Biblia Habari Njema - BHND na kutangaza mwaka wa neema ya Bwana.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na kutangaza mwaka wa neema ya Bwana.” Neno: Bibilia Takatifu na kutangaza mwaka wa Mwenyezi Mungu uliokubalika.” Neno: Maandiko Matakatifu na kutangaza mwaka wa Mwenyezi Mungu uliokubalika.” BIBLIA KISWAHILI Na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa. |
Tazama mtumishi wangu nimtegemezaye; mteule wangu, ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake; naye atawatolea mataifa hukumu.
Kutangaza mwaka wa BWANA uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao;
Tena itakapokuwapo hiyo jubilii ya wana wa Israeli, ndipo urithi wa hilo kabila ambalo wamekuwa ndani yake utaongezewa huo urithi wao; hivyo urithi wao utaondolewa katika urithi wa kabila la baba zetu.
akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.