Luka 4:13 - Swahili Revised Union Version Basi alipomaliza kila jaribu, Ibilisi akamwacha akaenda zake kwa muda. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda. Biblia Habari Njema - BHND Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ibilisi alipokwisha mjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda. Neno: Bibilia Takatifu Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Isa hadi wakati mwingine ufaao. Neno: Maandiko Matakatifu Ibilisi alipomaliza kila jaribu, akamwacha Isa mpaka wakati mwingine ufaao. BIBLIA KISWAHILI Basi alipomaliza kila jaribu, Ibilisi akamwacha akaenda zake kwa muda. |
Yesu akarudi kwa nguvu za Roho, akaendea Galilaya; habari zake zikaenea katika nchi zote za kandokando.
Mimi sitasema nanyi maneno mengi tena, kwa maana anakuja mkuu wa ulimwengu huu, wala hana kitu kwangu.
Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa kama sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi.