Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo.
Luka 24:40 - Swahili Revised Union Version Na baada ya kusema hayo aliwaonesha mikono yake na miguu yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kusema hayo, akawaonesha mikono na miguu. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kusema hayo, akawaonesha mikono na miguu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kusema hayo, akawaonesha mikono na miguu. Neno: Bibilia Takatifu Aliposema haya, akawaonesha mikono na miguu yake. Neno: Maandiko Matakatifu Aliposema haya, akawaonyesha mikono na miguu yake. BIBLIA KISWAHILI Na baada ya kusema hayo aliwaonesha mikono yake na miguu yake. |
Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo.
Basi walipokuwa hawajaamini kwa furaha, huku wakistaajabu, aliwaambia, Mna chakula chochote hapa?
Naye akiisha kusema hayo, akawaonesha mikono yake na ubavu wake. Basi wale wanafunzi wakafurahi walipomwona Bwana.
Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.