Luka 24:37 - Swahili Revised Union Version Wakashituka, wakaogopa sana, wakidhani ya kwamba wanaona roho. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu. Biblia Habari Njema - BHND Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakashtuka na kushikwa na hofu wakidhani wameona mzimu. Neno: Bibilia Takatifu Wakashtuka na kuogopa wakidhani kwamba wameona mzuka. Neno: Maandiko Matakatifu Wakashtuka na kuogopa wakidhani kwamba wameona mzuka. BIBLIA KISWAHILI Wakashituka, wakaogopa sana, wakidhani ya kwamba wanaona roho. |
Wakamwambia, Una wazimu. Lakini yeye akasisitiza, akasema ya kwamba ndivyo ilivyo. Wakanena, Ni malaika wake.
Mfalme akamwambia Usiogope; unaona nini? Yule mwanamke akamwambia Sauli, Naona mungu akitoka katika nchi.