Kwa kuwa mimi, BWANA, sina kigeugeu; ndio maana ninyi hamkuangamizwa, enyi wana wa Yakobo.
Luka 24:14 - Swahili Revised Union Version Nao walikuwa wakizungumza wao kwa wao habari za mambo hayo yote yaliyotukia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakawa wanazungumza juu ya hayo yote yaliyotukia. Biblia Habari Njema - BHND Wakawa wanazungumza juu ya hayo yote yaliyotukia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakawa wanazungumza juu ya hayo yote yaliyotukia. Neno: Bibilia Takatifu Walikuwa wakizungumza wao kwa wao kuhusu mambo yote yaliyotukia. Neno: Maandiko Matakatifu Walikuwa wakizungumza wao kwa wao kuhusu mambo yote yaliyotukia. BIBLIA KISWAHILI Nao walikuwa wakizungumza wao kwa wao habari za mambo hayo yote yaliyotukia. |
Kwa kuwa mimi, BWANA, sina kigeugeu; ndio maana ninyi hamkuangamizwa, enyi wana wa Yakobo.
Na tazama, siku ile ile watu wawili miongoni mwao walikuwa wakienda katika kijiji kimoja, jina lake Emau, kilichokuwa mbali na Yerusalemu kama mwendo wa saa mbili.
Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.
nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyasema uishipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.