Na Petro alikuwa ameketi nje uani; kijakazi mmoja akamwendea, akasema, Wewe nawe ulikuwapo pamoja na Yesu wa Galilaya.
Luka 23:6 - Swahili Revised Union Version Pilato aliposikia hayo aliuliza kama huyu ni mtu wa Galilaya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?” Biblia Habari Njema - BHND Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?” Neno: Bibilia Takatifu Pilato aliposikia hayo akauliza kama huyo mtu alikuwa Mgalilaya. Neno: Maandiko Matakatifu Pilato aliposikia hayo akauliza, “Huyu mtu ni Mgalilaya?” BIBLIA KISWAHILI Pilato aliposikia hayo aliuliza kama huyu ni mtu wa Galilaya. |
Na Petro alikuwa ameketi nje uani; kijakazi mmoja akamwendea, akasema, Wewe nawe ulikuwapo pamoja na Yesu wa Galilaya.
Na wakati uo huo walikuwapo watu waliompasha habari ya Wagalilaya wale ambao Pilato alichanganya damu yao na dhabihu zao.
Nao walisisitiza sana, wakisema, Huwataharakisha watu, akifundisha katika Yudea yote, tokea Galilaya mpaka huku.
Na alipopata habari ya kuwa yu chini ya mamlaka ya Herode, alimpeleka kwa Herode, kwa kuwa yeye naye alikuwapo Yerusalemu siku zile.
Baada ya mtu huyo aliondoka Yuda Mgalilaya, siku zile za kuandikiwa orodha, akawavuta watu kadhaa nyuma yake, naye pia akapotea na wote waliomsadiki wakatawanyika.