Kulipokucha, walikutanika jamii ya wazee, na wakuu wa makuhani, na waandishi, wakamleta katika baraza yao, wakisema,
Luka 23:1 - Swahili Revised Union Version Kisha mkutano wote wakasimama, wakampeleka kwa Pilato. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato. Biblia Habari Njema - BHND Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha, wote kwa jumla, wakasimama, wakampeleka Yesu mbele ya Pilato. Neno: Bibilia Takatifu Kisha umati wote wa watu wakainuka na kumpeleka Isa kwa Pilato. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha umati wote wa watu ukainuka na kumpeleka Isa kwa Pilato. BIBLIA KISWAHILI Kisha mkutano wote wakasimama, wakampeleka kwa Pilato. |
Kulipokucha, walikutanika jamii ya wazee, na wakuu wa makuhani, na waandishi, wakamleta katika baraza yao, wakisema,
Wakasema, Basi, tuna haja gani tena ya ushuhuda? Maana, sisi wenyewe tumesikia maneno ya kinywa chake.
Maana ni kweli, Herode na Pontio Pilato pamoja na Mataifa na watu wa Israeli, walikusanyika katika mji huu juu ya Mtumishi wako mtakatifu Yesu, uliyemtia mafuta,