Basi Yeremia akamwambia Sedekia, Kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena, mimi nikikupa ushauri wewe hutanisikiliza.
Luka 22:68 - Swahili Revised Union Version Tena, nikiwauliza, hamtajibu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na hata kama nikiwaulizeni swali, hamtanijibu. Biblia Habari Njema - BHND na hata kama nikiwaulizeni swali, hamtanijibu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na hata kama nikiwaulizeni swali, hamtanijibu. Neno: Bibilia Takatifu Nami nikiwauliza swali, hamtanijibu. Neno: Maandiko Matakatifu Nami nikiwauliza swali, hamtanijibu. BIBLIA KISWAHILI Tena, nikiwauliza, hamtajibu. |
Basi Yeremia akamwambia Sedekia, Kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena, mimi nikikupa ushauri wewe hutanisikiliza.