Luka 22:62 - Swahili Revised Union Version Akatoka nje akalia kwa majonzi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo akatoka nje, akalia sana. Biblia Habari Njema - BHND Hapo akatoka nje, akalia sana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo akatoka nje, akalia sana. Neno: Bibilia Takatifu Naye akaenda nje, akalia kwa majonzi. Neno: Maandiko Matakatifu Naye akaenda nje, akalia kwa majonzi. BIBLIA KISWAHILI Akatoka nje akalia kwa majonzi. |
Hakika nimemsikia Efraimu, akijililia hivi, Umeniadhibu, nami nikaadhibika, kama ndama asiyeizoea nira; unigeuze, nami nitageuka; kwa maana wewe u BWANA, Mungu wangu.
Lakini watakaokimbia watakimbia, nao watakuwa juu ya milima kama hua wa bondeni, wote wakilia, kila mmoja katika uovu wake.
Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimdunga; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.
Petro akalikumbuka lile neno la Yesu alilolisema, Kabla ya jogoo kuwika, utanikana mara tatu. Akatoka nje, akalia kwa majonzi.
Na mara jogoo akawika mara ya pili. Petro akalikumbuka lile neno aliloambiwa na Yesu, Kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu. Na alipolifikiri, akalia.
Bwana akageuka akamtazama Petro. Petro akalikumbuka lile neno la Bwana jinsi alivyomwambia, Leo kabla hajawika jogoo utanikana mara tatu.