Akaondoka, akaenda akasema na wakuu wa makuhani na majemadari, jinsi atakavyoweza kumtia mikononi mwao.
Luka 22:5 - Swahili Revised Union Version Wakafurahi, wakapatana naye kumpa fedha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao wakafurahi na kupatana naye kumlipa fedha. Biblia Habari Njema - BHND Nao wakafurahi na kupatana naye kumlipa fedha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao wakafurahi na kupatana naye kumlipa fedha. Neno: Bibilia Takatifu Wakafurahi na wakakubaliana kumpa fedha. Neno: Maandiko Matakatifu Wakafurahi na wakakubaliana kumpa fedha. BIBLIA KISWAHILI Wakafurahi, wakapatana naye kumpa fedha. |
Akaondoka, akaenda akasema na wakuu wa makuhani na majemadari, jinsi atakavyoweza kumtia mikononi mwao.
(Basi mtu huyu alinunua shamba kwa ijara ya udhalimu; akaanguka kwa kasi akapasuka matumbo yake yote yakatoka.
Lakini Petro akamwambia, Fedha yako na ipotelee mbali pamoja nawe, kwa kuwa umedhania ya kuwa karama ya Mungu yapatikana kwa mali.
wakiiacha njia iliyonyoka, wakapotea, wakiifuata njia ya Balaamu, mwana wa Beori, aliyependa ujira wa udhalimu;
Na kwa tamaa yao watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa; wao ambao hukumu yao tangu zamani haikawii, wala maangamizi yao hayasinzii.
Ole wao! Kwa sababu walikwenda katika njia ya Kaini, na kulifuata kosa la Balaamu pasipo kujizuia, kwa ajili ya malipo, nao wameangamia katika maasi ya Kora.