Luka 21:38 - Swahili Revised Union Version Na watu wote walikuwa wakiamka mapema waende hekaluni ili kumsikiliza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Biblia Habari Njema - BHND Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza. Neno: Bibilia Takatifu Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza. Neno: Maandiko Matakatifu Nao watu wote walikuja asubuhi na mapema Hekaluni ili kumsikiliza. BIBLIA KISWAHILI Na watu wote walikuwa wakiamka mapema waende hekaluni ili kumsikiliza. |