Luka 21:31 - Swahili Revised Union Version Nanyi kadhalika, mwonapo mambo hayo yanaanza kutokea, tambueni ya kwamba ufalme wa Mungu u karibu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba ufalme wa Mungu umekaribia. Biblia Habari Njema - BHND Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba ufalme wa Mungu umekaribia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Vivyo hivyo, mtakapoona mambo hayo yanatendeka, mtatambua kwamba ufalme wa Mungu umekaribia. Neno: Bibilia Takatifu Vivyo hivyo, mnapoyaona mambo haya yakitukia, mtambue kwamba ufalme wa Mungu umekaribia. Neno: Maandiko Matakatifu Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yakitukia, mnatambua kwamba Ufalme wa Mwenyezi Mungu umekaribia. BIBLIA KISWAHILI Nanyi kadhalika, mwonapo mambo hayo yanaanza kutokea, tambueni ya kwamba ufalme wa Mungu u karibu. |
Ndugu, msinung'unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.