Luka 21:2 - Swahili Revised Union Version Akamwona mjane mmoja maskini akitia mle senti mbili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo. Biblia Habari Njema - BHND akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza humo sarafu mbili ndogo. Neno: Bibilia Takatifu Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba. Neno: Maandiko Matakatifu Akamwona pia mjane mmoja maskini akiweka humo sarafu mbili ndogo za shaba. BIBLIA KISWAHILI Akamwona mjane mmoja maskini akitia mle senti mbili. |