Marko 12:42 - Swahili Revised Union Version42 Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia senti mbili, kiasi cha nusu pesa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Hapo akaja mama mmoja mjane maskini, akatoa sarafu mbili ndogo za fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Hapo akaja mama mmoja mjane maskini, akatoa sarafu mbili ndogo za fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Hapo akaja mama mmoja mjane maskini, akatoa sarafu mbili ndogo za fedha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Lakini mjane mmoja maskini akaja na kuweka sarafu mbili ndogo za shaba zenye thamani ya senti mbili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Lakini mjane mmoja maskini akaja na kuweka sarafu mbili ndogo za shaba zenye thamani ya senti mbili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI42 Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia senti mbili, kiasi cha nusu pesa. Tazama sura |