Luka 21:3 - Swahili Revised Union Version3 Akasema, Hakika nawaambia, huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Basi, akasema, “Nawaambieni kweli, mama huyu mjane maskini ametia katika hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, akasema, “Nawaambieni kweli, mama huyu mjane maskini ametia katika hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, akasema, “Nawaambieni kweli, mama huyu mjane maskini ametia katika hazina kiasi kikubwa kuliko walichotia wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Isa akasema, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka humo zaidi ya watu wengine wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Isa akasema, “Amin, nawaambia, huyu mjane maskini ameweka humo zaidi ya watu wengine wote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Akasema, Hakika nawaambia, huyu mjane maskini ametia zaidi kuliko wote; Tazama sura |