Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi upande wangu wa kulia, Hadi niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.
Luka 20:43 - Swahili Revised Union Version Hadi niwaweke adui zako Kuwa kiti cha kuwekea miguu yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’ Biblia Habari Njema - BHND mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mpaka niwaweke maadui zako kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.’ Neno: Bibilia Takatifu hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.”’ Neno: Maandiko Matakatifu hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’ BIBLIA KISWAHILI Hadi niwaweke adui zako Kuwa kiti cha kuwekea miguu yako. |
Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi upande wangu wa kulia, Hadi niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.