Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu rohoni, akakaa majangwani hadi siku ile alipotokeza hadharani kwa Israeli.
Luka 2:52 - Swahili Revised Union Version Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye Yesu akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa na Mungu na watu. Biblia Habari Njema - BHND Naye Yesu akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa na Mungu na watu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye Yesu akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa na Mungu na watu. Neno: Bibilia Takatifu Naye Isa akakua katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu. Neno: Maandiko Matakatifu Naye Isa akakua katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu. BIBLIA KISWAHILI Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu. |
Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu rohoni, akakaa majangwani hadi siku ile alipotokeza hadharani kwa Israeli.
Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu, amejaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake.
Kwa kuwa yeye amtumikiaye Kristo katika mambo hayo humpendeza Mungu, tena hukubaliwa na wanadamu.