Luka 2:40 - Swahili Revised Union Version40 Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu, amejaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Mtoto akakua, akazidi kupata nguvu, akajaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Mtoto akakua, akazidi kupata nguvu, akajaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Mtoto akakua, akazidi kupata nguvu, akajaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Naye yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu, akijawa na hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Naye yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu, akiwa amejaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu, amejaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake. Tazama sura |