1 Samueli 2:26 - Swahili Revised Union Version26 Na yule mtoto, Samweli, akazidi kukua akapata kibali kwa BWANA, na kwa watu pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Mtoto Samueli aliendelea kukua, akazidi kupendwa na Mwenyezi-Mungu na watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Mtoto Samueli aliendelea kukua, akazidi kupendwa na Mwenyezi-Mungu na watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Mtoto Samueli aliendelea kukua, akazidi kupendwa na Mwenyezi-Mungu na watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Naye kijana Samweli akaendelea kukua katika kimo, akimpendeza Mwenyezi Mungu na wanadamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Naye kijana Samweli akaendelea kukua katika kimo, akimpendeza bwana na wanadamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Na yule mtoto, Samweli, akazidi kukua akapata kibali kwa BWANA, na kwa watu pia. Tazama sura |