Luka 2:50 - Swahili Revised Union Version Nao hawakuelewa neno hilo alilowaambia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia. Biblia Habari Njema - BHND Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia. Neno: Bibilia Takatifu Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia. BIBLIA KISWAHILI Nao hawakuelewa neno hilo alilowaambia. |
Lakini hawakuelewa maneno hayo hata kidogo, na jambo hilo lilikuwa limefichwa kwao, wala hawakufahamu yaliyonenwa.
Lakini hawakulifahamu neno lile, likafichwa kwao wasilitambue; wakaogopa kumwuliza maana yake neno lile.