Luka 2:50 - Swahili Revised Union Version50 Nao hawakuelewa neno hilo alilowaambia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI50 Nao hawakuelewa neno hilo alilowaambia. Tazama sura |