Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.
Luka 2:5 - Swahili Revised Union Version ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito. Biblia Habari Njema - BHND Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito. Neno: Bibilia Takatifu Alienda huko kujiandikisha pamoja na Mariamu, aliyekuwa amemposa, na alikuwa mjamzito. Neno: Maandiko Matakatifu Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na Mariamu, ambaye alikuwa amemposa, naye alikuwa mjamzito. BIBLIA KISWAHILI ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba. |
Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.
Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Yudea mpaka katika mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa ukoo na jamaa ya Daudi;