Furahi sana, Ee binti Sayuni; Piga kelele, Ee binti Yerusalemu; Tazama, mfalme wako anakuja kwako; Ni mwenye haki, naye ana wokovu; Ni mnyenyekevu, amepanda punda, Naam, mwanapunda, mtoto wa punda.
Luka 19:34 - Swahili Revised Union Version Wakasema, Bwana anamhitaji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao wakawajibu, “Bwana anamhitaji.” Biblia Habari Njema - BHND Nao wakawajibu, “Bwana anamhitaji.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao wakawajibu, “Bwana anamhitaji.” Neno: Bibilia Takatifu Wale wanafunzi wakajibu, “Bwana anamhitaji.” Neno: Maandiko Matakatifu Wale wanafunzi wakajibu, “Bwana anamhitaji.” BIBLIA KISWAHILI Wakasema, Bwana anamhitaji. |
Furahi sana, Ee binti Sayuni; Piga kelele, Ee binti Yerusalemu; Tazama, mfalme wako anakuja kwako; Ni mwenye haki, naye ana wokovu; Ni mnyenyekevu, amepanda punda, Naam, mwanapunda, mtoto wa punda.
Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka);
Mambo hayo wanafunzi wake hawakuyafahamu hapo kwanza; lakini Yesu alipotukuzwa, ndipo walipokumbuka ya kwamba ameandikiwa hayo, na ya kwamba walimtendea hayo.
Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.