Tena jambo hili lilikuwa dogo machoni pako, Ee Bwana MUNGU; hata umeleta habari ya nyumba yangu mimi, mtumishi wako, kwa miaka mingi inayokuja baadaye; na hayo kwa namna ya kibinadamu, Ee Bwana MUNGU.
Luka 19:25 - Swahili Revised Union Version Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao wakamwambia: ‘Lakini Bwana, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!’ Biblia Habari Njema - BHND Nao wakamwambia: ‘Lakini Bwana, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao wakamwambia: ‘Lakini Bwana, huyo ana faida ya kiasi hicho mara kumi!’ Neno: Bibilia Takatifu “Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’ Neno: Maandiko Matakatifu “Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’ BIBLIA KISWAHILI Wakamwambia, Bwana, anayo mafungu kumi. |
Tena jambo hili lilikuwa dogo machoni pako, Ee Bwana MUNGU; hata umeleta habari ya nyumba yangu mimi, mtumishi wako, kwa miaka mingi inayokuja baadaye; na hayo kwa namna ya kibinadamu, Ee Bwana MUNGU.
Akamwita, akamwambia, Ni habari gani hii ninayosikia juu yako? Toa hesabu ya uwakili wako, kwa kuwa huwezi kuwa wakili tena.
Akawaambia waliosimama karibu, Mnyang'anyeni hilo fungu, mkampe yule mwenye mafungu kumi.
Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.