Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
Luka 18:33 - Swahili Revised Union Version nao watampiga mijeledi, kisha watamwua; na siku ya tatu atafufuka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watampiga mijeledi na kumuua; lakini siku ya tatu atafufuka.” Biblia Habari Njema - BHND Watampiga mijeledi na kumuua; lakini siku ya tatu atafufuka.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watampiga mijeledi na kumuua; lakini siku ya tatu atafufuka.” Neno: Bibilia Takatifu Naye siku ya tatu atafufuka.” Neno: Maandiko Matakatifu Naye siku ya tatu atafufuka.” BIBLIA KISWAHILI nao watampiga mijeledi, kisha watamwua; na siku ya tatu atafufuka. |
Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.
wakasema, Bwana, tumekumbuka kwamba yule mjanja alisema, alipokuwa angali hai, Baada ya siku tatu nitafufuka.
Kwa kuwa atatiwa mikononi mwa Mataifa, atafanyiwa dhihaka; atatendwa jeuri, na kutemewa mate;
Lakini hawakuelewa maneno hayo hata kidogo, na jambo hilo lilikuwa limefichwa kwao, wala hawakufahamu yaliyonenwa.
Nasi tulikuwa tukitumaini ya kuwa yeye ndiye atakayewakomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu yalipotendeka mambo hayo;
akisema, Imempasa Mwana wa Adamu kutiwa mikononi mwa wenye dhambi, na kusulubiwa, na kufufuka siku ya tatu.