Luka 18:33 - Swahili Revised Union Version33 nao watampiga mijeledi, kisha watamwua; na siku ya tatu atafufuka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Watampiga mijeledi na kumuua; lakini siku ya tatu atafufuka.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Watampiga mijeledi na kumuua; lakini siku ya tatu atafufuka.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Watampiga mijeledi na kumuua; lakini siku ya tatu atafufuka.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Naye siku ya tatu atafufuka.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Naye siku ya tatu atafufuka.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 nao watampiga mijeledi, kisha watamwua; na siku ya tatu atafufuka. Tazama sura |