Akamjibu baba yake, akasema, Tazama, mimi nimekutumikia miaka mingapi hii, wala sijakosa amri yako wakati wowote, lakini hujanipa mimi mwana-mbuzi, nisherehekee na rafiki zangu;
Luka 18:21 - Swahili Revised Union Version Akasema, Hayo yote nimeyashika tangu utoto wangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye akasema, “Hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.” Biblia Habari Njema - BHND Yeye akasema, “Hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye akasema, “Hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.” Neno: Bibilia Takatifu Akajibu, “Amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.” Neno: Maandiko Matakatifu Akajibu, “Amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.” BIBLIA KISWAHILI Akasema, Hayo yote nimeyashika tangu utoto wangu. |
Akamjibu baba yake, akasema, Tazama, mimi nimekutumikia miaka mingapi hii, wala sijakosa amri yako wakati wowote, lakini hujanipa mimi mwana-mbuzi, nisherehekee na rafiki zangu;
Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na tisa ambao hawana haja ya kutubu.
Wazijua amri; Usizini, Usiue, Usiibe, Usishuhudie uongo, Waheshimu baba yako na mama yako.
Yesu aliposikia hayo alimwambia, Umepungukiwa na neno moja bado; viuze ulivyo navyo vyote, ukawagawie maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha, njoo unifuate.
kwa habari ya juhudi, mwenye kuliudhi kanisa, kwa habari ya haki ipatikanayo kwa sheria sikuwa na hatia.